Saturday, July 21, 2012

USALAMA..


Usalama wangu mnautisha,pengine isitokee kuwa salama,ama ikawa vile itakavyokuwa sihitaji kuyasema haya,maana pengine ni makubwa sana yatufaa kuogopa lakini iwe ni  kwa nini imefanyika hivyo tena isivyo kwa usalama,maana kama ni mlio basi ule wa puh.!ikiwa kimedondoka kikubwa,changanya watu wanakudanganya hali ya sasa si nzuri hata kwa wauza nyama na nyanya,maana wamelima wakajitahidi na kufuga lakini wa kununua nani?ama pengine wafe malishoni,na la kulaumu si jamii kimsingi tukifuatana na hii shilingi.

Maisha salama ni matunzo bora ya mwili,pale unapokubari umeridhika ndiyo hapo unakuwa na maisha salama,ni umelidhika na mazingira uliopo kwa yale unayoyaona,pengine bila kutaka kufikiria mengine,ama ikawe ni uvivu kwa sababu fulani na mida inannaniii..usalama wa maisha yako ni pumzi,maana usikubari ikate kwa kuanza kupungua,pengine kujitahidi iongezeke ikiwa inahitajika zaidi,kwani tunapokuwa na pumzi salama na maamuzi huwa yanakuwa salama,huwa kuna kuwa na subira.

Usalama wako unavuta kheri,maana ukiwa ukiendelea na subira kutokana na malengo yako,pengine unaweza kuwa na usalama katika maisha yako na usijue kama wewe ni nani,hapo ukichelewa watakuiba,maana hujui kitu..basi kubari kuwa wewe kwa usalama wako.maana haya ni maisha yako.Pengine kule mnaniskia maana lengo lenu hili ni salama,haikuwa mapema kumeanza kusikika kwa uvamizi wa fikra za watu,jaribu kufanya mambo yako salama,maana wewe ndiyo mkuu,hii ya kusikia a,a,a,a kila siku watu huchoka na hatimaye kuacha shule,pengine pia ilifananishwa a,e,i,o..na kivile tusingefika salama.

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...