Kuwa na uhuru kunakufanya uwe na mafanikio,yaani ukiwa na
uhuru wa maamuzi na kutenda,pengine kila mtu anatenda yake,hata Yule unayemwita
mwehu naye anatenda,pengine hapa ndiyo tukafikiri nakujua kuwa palipo na mwanadamu panahitaji akili,yaani fikra
zilizotimia,ikiwa inajua nini kile inachokifikiria,pengine tumekuwa na uhuru
tangu mda mrefu na tumeshindwa kufanya lolote,sisi ni wapumbavu..yaani hatuna
akili maana tuliyotenda ni sawa na bure,uhuru wa bure,tena ingalikuwa wanaotupa
uhuru hawatukufahamu tungalikuwa udongo kabisa.
Sijamwona huyu wa kunitisha maana mengine aliyasema
baba,ndiye aliyenipa uhuru wa kuishi hapa duniani,mengine wala hata si haba
maana hata watoto wadogo wa sasa wanayo.waswahili tunasema samaki mmoja akioza
wote huoza,tukisahau walikula mpaka maiti..au mtoto wa nyoka sio nyokaa..?uhuru
mwengine unatia raha sana,maana unaweza ukajiona mfalme lakini ukafika muda
uliopangwa ukahisi njaa,pengine wengine wanapitisha hata siku ngapi,pengine
wakiwa na ufalme wao ama vile kwa ukwabela wao,huru ikiwa inahitaji kutokea
maana kuna utofauti mtatu,ama mbili kubadilishana na moja au moja kubadilishana
na kila moja nyenzake,kuwa huru kuelewa..
Ilipofika siku yake ilitokea,maana wale walio na mafanikio
katika mambo yao wataelewa,jinsi vile namna waliweza kukumbuka mpaka kufikia
hapo,uhuru hauhusiki na utumwa.ukitakiwa kuwa mtumwa basi unatakiwa utambue
mafanikio yako,sasa ujue kwa kutumia akili yako,maana mwishoni tutaona matendo
yako,baada ya kifo kuna maneno machache tu..kama tungalikuwa huru kufungua
mbingu basi ingeeleweka kwa uchache wake.
kuwa huru katika maisha yako maana kile kilichoandaliwa kwa
ajili yako kitatimia
No comments:
Post a Comment