Kuna baadhi ya
sifa ya ajabu katika watu wamiliki wa baadhi walivonavyo. Kama kitu ni cha
milele, na ni tumaini watu kuimiliki kwa
wingi. Wakati mwingine matumaini yanaonekana kufa chini ya shina, ikiwa
haikutumainiwa kwa vile iwe ya milele,ikapendeze tena bila kelele,bali ni
milele inavyoupendezesha moyo upya katika nafasi ndogo uliyoiruhusu.moyo ni
hazina ya furaha katika maisha yako kwani maamuzi yanayotokana na wewe ndiyo
wewe mwenyewe unavyotafsilika katika pendo.
Na halafu pia katika kutumaini ili kuishi kuna Kifo, maumivu, na taabu za maisha hivi vitu kuvuruga upendo, ukiwa hauna namna , zisizogusika nje au hata ilivyo ndani ya mtu binafsi ni hatua kama ya milima, na ni mwanzo na mwisho wa uhai wetu.Upendo unaipa dunia kivutio chake. Ni upendo peke yake wa kupendezesha na kuleta furaha, na kwamba humfanya mwanadamu kutoka kuwa mahali pa ukiwa ikiwa amekubari kupendeza na furaha. Hii inatufanya iwe ni milele kujenga maono mapya na ndoto njema, milele kutoa mawazo mapya ya mwongozo
kuna namna fulani inaonekana inachanganya sana na makosa ya kudhani upendo ni bidhaa ya mwili tu na damu. Hata mchakato mrefu ndani yetu inatuambia upendo huja juu ya mbawa zinazotoka kwa Mungu.hivyo katika swala la kuamini ni kazi ya kila mmoja maana hakuna anayempendea mwenzake,kila mtu na moyo wake ikiwa ameyatumainia maisha yake yawe katika namna ipi,itakayokupendezesha mwenyewe.
No comments:
Post a Comment