Sitashangaa kusikia moja moja,maana pengine imekuwa ni kama
matokeo tu,tunapoonyeshwa hatuoni kwa kusema ona,maana na macho na yenyewe
lazima yaambiwe ona,ikiwa kila sauti yanasikia maana tumeona vitu vya ajabu
sana katika mikusanyiko yenu,mikutano ikiwa nane inaashiria kuendelea kufika
kumi,tujue ya saba imetoka wapi basi.wananchi na nchi yao hawawezi kuwa
wapumbavu kwa kushindwa kuelewa wanachoonyeshwa,hapa wanahitaji kuelekeza
ikiwezekana kupewa semina,sijui tunaishije bila semina maana ndiyo yamekuwa
maisha yetu,sijui unajifunza nini humo,sijui ndo hivi vya semina ama ni katika
kufanya biashara.
Siku ikiwa ni ya nane ni kwa sababu ya saba jumapili,ndiyo
maana ukasikia sabasaba,hawa watu wanapenda sana kupumzika ikiwa ni siku yao ya
kuonyesha,si wanauza..!wewe ndugu yangu umelima lini jana tunasikia unalia
njaa?au nini nisaidie ndugu yangu maana kila kitu siku hizi ni maonyesho ya
sabasaba,wapeni watu uzalendo wa kuifikiria siku kuku,pengine mtu akiwaza shari
kuzidi heri,sikunyingine zinakuja maana mpaka kumi kumi.ikiwa huduma
zitaonekana kuwa duni.
Muda unatoka tofauti ya vile tulivyofundishwa,maana na
wenyewe wanahitaji kufundishwa,kwa hilo ukiamua kusema kilimo kinaanza sio kama
uzamini wa simba na yanga,hapa ni zaidi ya ‘madaruga’ na ‘mabarugaja’,ni zaidi
ya kombati siku yake ya kumi inapofikia,maana hapa tutasema dunia imejaa mengi
kwa bila kufikiri yale yamoyoni umeyaweka sana akilini,inaleta matatizo
kubadili maana kwa kuonekana ikiwa kama ushahidi,angalia namna ya maisha
uliyochagua kabla siku ya saba haijaisha maana hii ya nane utaingia shambani.
No comments:
Post a Comment