Friday, September 23, 2016

MAAMUZI

FIKIRI KILE AMBACHO UNAKITAKA KUKIFANYA, PENGINE UKIWA UMEBAKI NYUMA KATIKA KULIFANYA JAMBO HILO KWA SABABU FULANI HUSIKA, SIYO KWAMBA BINAFSI HAUKUWA NA HITAJI LA KUFANYA JAMBO HILO LAKINI CHANGAMOTO ZA MAISHA ZIKAKUCHANGANYA NA KULETA MAJIBU TOFAUTI PENGINE UKAWAZA NA KUONA KAMA HAUKUTAKIWA KUFANYA WEWE KWA VILE LILE JAMBO LIMEKUWA NI GUMU, UKAOGOPA KUFANYA JAMBO KWA KUWA UTAFELI SANA, PENGINE UMEWAFERISHA WENGI SANA HAPO NYAKATI ZA NYUMA.

MTU HANA MAAMUZI YA KUFANYA MAAMUZI, KUAMUA KUFANYA MAAMUZI NI KUAMUA, KUNA YALE MAAMUZI MADOGO AMBAYO WENGI WETU TUNAYAACHA KWA KUWA HATUYAJARI HAYO MADOGO,LAKINI MADOGO HAYO NDIYO HUWA MAKUBWA BAADAYE,INGAWA PIA KUAMUA KUTENDA NI CHANGAMOTO KUBWA SANA, KAMA MAMBO YANATOKEA KATIKA MAISHA YETU KATIKA KUFANYA YALE MAMBO AMBAYO MTU UMEKUSUDIA KUFANYA LAKINI KATIKA NAMNA MOJA AMA NYINGINE UMEKUWA NYUMA NA HAUJAFANIKIWA KUFANYA, NA UKITAMBUA NI LAZIMA KUFANYA LAKINI HUJAFANYA, KILA MTU ANAJUA SIO RAHISI, SIO RAHISI KUFANYA JAMBO GUMU.

KATIKA VITU VINAVYOTUFANYA BINADAMU KUWA NA HOFU YA KUTOKUFAULU NA KUFELI PENGINE HUWA NI KWA KUPOTELEWA NA MTU AU KITU KINGINE,KUDHARAULIWA,IKIWA HIVYO KWA MUDA MWINGINE INAKUPASA KUJUA KWA NINI UNAFELI,NA KAMA NI HOFU UKAISEMA MAANA HOFU HUWA HAITOKI KATIKA MAZINGINRA YA BINADAMU,HUTUZUNGUKA.HII INAWEZA KUKUPELEKEA KULAUMU NA KUJINYIMA UWEZO WAKO WA KUWEZA KUFURAHI.SIO KWA SABABU MMOJA NI MZURI NA MWENGINE NI TOFAUTI HAPA UKUMBUKE HAKUNA LILILOKAMILIKA DUNIANI LAKINI KUPITIA USEMI HUU SI YA KUMAANISHA SIO KWA SABABU YA HIYO NDIYO NAWE UWE,FIKIRI MANGAPI HUJAFANYA,MANGAPI HAUJAYAMALIZA..USIYAOGOPE NA YAFANYE SASA NA BAADAYE UTAONA UYAFANYAYO YATAKAVOAMISHA MAISHA YAKO.

WATU WENGI HAWAPENDI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA SABABU WANATAKA WAFANYE MAAMUZI SAHIHI KWAO.KUFANYA MAAMUZI KUNAHITAJI NGUVU,SASA HIVI AMUA NI KIPI UWEZE KUWEKA NIA  YAKO,UKIWEZA KUWEKA NIA KATIKA LILE ZURI NDIYO PALE UJUZI WAKO UTAKAPOONEKANA.


BADILIKA NA FANYA MAAMUZI SASA.

@Benson Makaya:

Wednesday, June 26, 2013

Makaya's Forum: SUBIRA HUVUTA KHERI...

Makaya's Forum: SUBIRA HUVUTA KHERI...: Kheri huletwa na mwenyezi mungu maana   unaweza kusubiri   mpaka tumbo likauma,Ngoja ngoja huumiza matumbo yaliyolegea ikiwa la kwak...

Friday, January 25, 2013

Makaya's Forum: USIOGOPE,KUWA NA FURAHA…

Makaya's Forum: USIOGOPE,KUWA NA FURAHA…: Ni namna ya maisha yanavyokwenda,maana leo ikaja lakini siyo kesho,ukawa na hofu ya leo maana ile ya jana nusu imeishia leo.. kama il...

Tuesday, January 8, 2013

Makaya's Forum: MFUMO..

Makaya's Forum: MFUMO..: Leo tumetaka kuongozwa na nani maana inaashiria mfumo unapajua   unapoelekeza ,pengine ikawa vyote ni vya kijani,kwani kwa vile vinav...

Saturday, January 5, 2013

Makaya's Forum: MAPENZI YANAISUKUMA DUNIA..

Makaya's Forum: MAPENZI YANAISUKUMA DUNIA..: Usipoelewa hautaweza kujua hata kama unashiriki vipi,maana kwa kutokuyapenda na kujifanya unajua zaidi,katika vitu na watu wanaoisu...

Wednesday, December 12, 2012

Makaya's Forum: NIA NA THABITI YAKO MWENYEWE

Makaya's Forum: NIA NA THABITI YAKO MWENYEWE: Pengine tusije tukaenda madukani tukasema ni akili zetu,hii ikiwa kuna kuagizwa ama kwenda,na ikiwa tumeenda ni lazima kujielewa kwa ...

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...