Saturday, June 16, 2012

KUWA(2)...


Mengine yanapokuwa yanakuwa sumu,
hapa kwa watoto na wenyewe wakaelewa,kwa vile imekuwa ni taarifa inayoonyesha kuwa kuna sumu hapo,na pale mtu anapotaka kukuwa zaidi ni pale anapoifatilia hiyo sumu,
pengine ni nini au pengine ikatumike kwa  matumizi yatakayoonekana ya kawaida ikiwa kabla ya matokeo,hiyo ikiwa sababu imetangulia au vile itakuja,
ni lazima tuwe na mategemeo,maana na yenyewe yanakuja kutokana na vile mtu anachofikiria,mtu anakuwa  kwa namna alivyojitambua yeye.

Tatizo linakuja pale furaha inapokuwepo,tena kwa vile ilivyo namna ya kuharibu hiyo furaha,labda tukajue tukuwe katika namna ipi,hata kama yale yanayonyanyuka ni kidogo lakini yapasa kuyafanya kila siku,kama inategemeka kwa  mtoto kuwa na tabia nzuri basi yapasa tuweze kumuheshimu,yaani hivyo navyo naye atakuwa na heshima ya namna hiyo,
Kila mara tunahitaji kukua katika jambo hata kidogo kidogo ikiwa kinachotakiwa ni kukua katika kila muda,muda mengine tukaeleweke hapa tumekuwa sana,maana yaweza kuwa ni haraka kwelikweli,lakini katika hilo furaha napo huwa kivyake,endapo kama akaulizwa kama ni nini kile mtu atapata ili ionekane amekuwa katika namna ya furaha.

Ikiwa imeonekana mtu hakui basi hapo italeta maana ya utegemezi na chuki ikiwa bado kukuwa hakujajulikana ni nini kinachohitajika,pengine mafanikio ndiyo yanayoleta furaha,lakini labda tukauliza kwa wale waliofanikiwa,endapo kama labda kunafuraha,hapo tutaielewa furaha,sio wote wenye furaha,sio wote wanaokuwa

Kama vile inavyosemeka kama unataka kukua katika namna unavyofikiri ni lazima kutumia pesa ya kuwa umeutaka utajiri,pengine katika kujua pesa ni nini maana mtu hawezi kuwa tajiri bila ya kujua hilo na thamani ya utajiri wake ni nini,pengine ikawe kwa kuuliza ni namna gani inaweza kufanyika vizuri,hapo tukiwa pia tunakuwa.

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...