Thursday, June 21, 2012

KUWA(3)


Vitu vidogo tunavyofanya kila siku ndiyo vitatufanya kuwa na kupata yale makubwa,
hapa ikiwa hata haya madogo ni makubwa,maana kama tutafikiri kwa mara ya kwanza mwanaume akamfuata mwanadada na kumweleza kuhusu upendo hiyo ikiwa ni mwanzo pengine mwanadada akiwa bado hajaanza kuridhia ama ikiwa ni vile akitaka kuona kikubwa,maana yaweza kuwa ikitegemeka kuonekana kizuri,hapo ikiwa mtu akaendelea na kuweza kuonyesha zaidi ndiyo hapo tunasema amefanikiwa kwa jambo kubwa ambalo limetokana na kile kidogo kilichoongeza kidogo.maana yaweza kuwa mapendo yameonekana kuwa ni makubwa ,na hapo ndiyo furaha huwepo pia.

Unaweza kukatazwa kwa kile na jambo unaloweza kuwa ukilifanya,
hapa ikiwa lilikuwa na furaha kwa upande wako,ikiwa siku tu katika upande mmoja,kama mwanadamu anatoa ukweli ndani yake ana haki ya kupata ukweli ndani ya maisha yake,cha muhimu mara zote huwa kwa mtu mwenyewe,sio kiafya,kifedha,family na hata vengine vya thamani,tunaweza kufikiri kwa nini watu wanaona kama kuna michanganyo mingi katika kutafuta kweli,hapo tunawezakuchanganywa,ikiwa kwa mwanzo tuliangalia mahala pamoja

Katika kukuwa pia inatupasa kujua ni wapi unaelekea,utafanya lini na nini katika maisha yako,
utakuwakatika hali gani katika afya,na hii yote inatokana na malengo makubwa yanayotokana na akili bila mwili,maana mwili baadaye unashirikishwa,kama hatutawekeza katka akili zetu hatutakuwa ya kinamna moja inapaswa kufikiri ni namna gani tutafanya,pengine ni baada ya kufikiri,na katika kujiinua katika maisha ni lazima kufikiri  tofauti,ikawa pale ikajulikana ni namna gani unavyofanya,na baada ya hilo swali likaja ni namna gani unavyofanyavizuri,pengine watu wakafikiria ni namna gani ulifikiria vizuri.

Kuna njia nyingi za kuwa na kukuwa katika furaha unayohitaji,
ni pale utakapotaka kufanya na kumaliza maisha yako,kuna mengi amabayo yapo katika dunia hii,na ili kuyamaliza sio lazima kufanya yote,ni kufanya lile litakalo kupatia furaha,pengine kwa muda huo au ikafikirika maisha yote,maana imani itumike hapo,inapasa kufikiri ni namna gani tunaweza kujilinda wenyewe,katika maisha yetu jambo kubwa tunalofanya ni kuangalia yale ya mbele,pengine hapo tutayafikiria,
na hapo matendo yakasemeke ya kuwa ilifikirikaje,kila siku jaza lile zuri katika maisha yako,
ikiwa kidogo kidogo na baadaye utafurahia kweli ya maisha yako.

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...