Monday, October 8, 2012

MAFUNZO

Hakuna matatizo yanayokuja na kusemwa yameshindwa kutatuliwa,matatizo yangu siyo ya kwako hata kama tumefunzwa pamoja hatuwezi kulinganishwa kwa hilo maana ya kujifunza ni kudhalau yaliyopita ya kwanza maana yangu,usimdharau mwenzio kwa kuwa wewe umepata unachojivunia maisha,maisha ni mzunguko leo ukiwa nacho na kesho unaweza usiwenacho ni maana ya kesho kutwa kuja ili kujifunza maisha hayamfundishi mtu mtu anajifunza kutokana na kile asichokuwa na ufahamu nacho,yale yanayotokea ndiyo yanamfundisha mtu tena ikiwa yamefanya hayo kueleweka ni maisha yako.

Mwanadamu hajui lolote ndiyo maana asijue nini kuabudu,wanadamu ni wengi na Mungu ni mmoja Kubali makosa pale ulipokosea,na kama unajua unajitambua kubali makosa yako hapo ulipo,ukikubari na utajua hata kama unajua basi utajua mengine siyo yale unayoyafahamu,mtu kujua ni kama ladha ya utamu,maana kila mtu aujuavyo utamu wake hasa pale unapozidi na kupunguz.

Haki iliyo ya mtu siyo ya kila mtu,pengine ieleweke mtu Yule asiyejua na kuonekana anajua ndiyo ataweza kujua,maana ametaka kujifunza ikiwa kuonekana siyo kujua.mengine mengi hutokea mafunzoni na huwa ni sehemu ya maisha,hapa wachache wakiona kana kwamba waliishi sehemu nyingine na nyingine iliyobaki.mafunzo si lazima ujifunze popote pale,unaweza kwenda kufundisha walimu na ukawa bado ni mwanafunzi.

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...