Naomba samahani kwanza kwani kwa hili tendo nilijua
kwanza,kama hujui kwanini unaishi,ulipo
na ulivyo utakuwa ni mpumbavu anayepaswa kuishi na wapumbavu,maana
inaweza kuwa ni wa milele,kama hujui upo duniani kwa ajili ya nini? embu
jiulize sasa,kaa chini fikiria na muulize hata mwenzako,ndiyo inawezekana
kufanya kile ambacho hakipo katika mategemeo yako lakini ikawa kipo katika njia
ya kuendea kwako,fikiri mara ya tatu na kujilaumu kwa kufanya na kuona
umekosea,
Namna ya matendo na jinsi ulivyo ndiyo yanafanya maisha
yako,kumbuka kipindi unapewa mitihani kama ulikuwa unafanyiwa na mwenzako,maana
sasa shida ndiyo mitihani yako,jirani yako ndiyo Yule aliyekuwa akikusaidia
hata kwa chumvi inapokata mida ya giza’.pengine wengine hawaelewi kwa kuwa na
kuishi kivingine,kama sijakosea mwanadamu lazima aishi maisha yake halisia,hasa
pale anapokuwa mtu mzima,watoto huwa wanachukulika hawana makosa kwa kuwa kwao
wao ni vigeni,hata hawapaswi kukaa sebureni.
Mwanadamu anastahiri upendo,mwanadamu anastahiri namna ya
kujiona mtu katika dunia,maana umekuja kwa ajili hiyo,unapoambiwa mbaya shukuru
mungu maana wazuri mungu kawanyima ubaya,kubari kuwa yangu ni kama yako,na kama
huja baada ya kuona muda unaobidi kutumika ni ule ule lakini kinachobidi
kutendwa kimetofautiana,mwanadamu tafuta ridhki yako ujione mfalme,ukiona
mwenzako anamsema mwenzako angalia isije kuwa ni kawaida yako,fanya mambo yako…
No comments:
Post a Comment