Hapa hakuna nasaha maana si la muhimu kwa yeyote,kwa aliye na umuhimu wa kutaka kuelewa hukaa chini na kusikiliza ushauri,ushauri si wa bure,ushauri ikiwa ni njia za kutaka ya kule,pengine ukaja japo mchango maana wengi wao wameshauri sana,maisha ya mwanadamu hayapaswi kutembea na ushauri,maana haifai ikafika siku na ushauri akafa bila ya mafanikio,maana kama mwanadamu unashauriwa unastahiri kushaurika.
Mshauri si ushauri,pengine ikafikirika tofauti ya kitu na mtu,kheri ya vyote kuwa wote,maana unaweza penda ushauri bila ya mshauri,kubali yale unayoyafikiria ni kweli,ikiwa umekataa hata kwa kushauriwa basi ni kheri,huu wangu ushauri naupeleka kwako ili ukashauri,pengine mkiwa wawili wewe Pamoja na akili yako,zako ni uwingi usioleta namna ya ushindi maana umetajika kwa wingi,hapa tukasema heli mchina mmoja kuliko mabata kumi,maana kazi ya bata ni kula,kujisaidia na kuogelea.ushauri mwingine huja baada ya kujua machache ya mwanzo pia
Haifai kukataa ushauri ikiwa umekuja bure,leo kila kitu kimekuwa bidhaa na matapeli watakao kuja hawata taka hata senti,maana wao walishazurumiwa haki zao kwa kutokupenda ushauri,ushauri wa mshauri ni kushindwa ushauri,maana mwanzo ikasemwa pokea ushauri wa bure ili kufikiri zaidi yale yako,maana pengine haikupaswa kushaurika zaidi ya kupokea lawama za kutokushaurika.
No comments:
Post a Comment