Fikiri Leo umetumwa wakibaki peke yao,maana wakitaka kupata faida
wazijuazo wenyewe,ikiwa unasikia ni lazima kutaka kuacha maana ukweli umeonekana,ikiwa chini ni utata basi tujaribu
kutafuta vya kupunguza maumivu maana kwa starehe tutapona ikiwa hata kama tutachelewa
isionekane kwani mazuri mengi hutokea pindi pale mtu anapojidai yeye ni yale
anayotaka na kusema yeye,maana kutokutaka ni namna ya kukosea,haina haja ya
kumfunua aliyelala maana adhabu iliyo tamu ni maumivu yanayoifurahisha nafsi.
Usitukane kwa kupiga maana mwanzo ukiwa mwisho ni furaha inayoleta
karaha,iliyokuwepo tangia jana tusiifuate kesho maana hata tukatukana
tutahitaji maana ili kuleta namna za kuelewa,usiseme wewe kwani kesho ndiyo
zamu yangu,kile kilicho chako ni changu katika upendo usio kuwa na maana ya
hitaji,nawapenda sana wageni maana wao niwahitaji wa mambo mengi sana.
Katika ukweli tumenyamaza maana pengine itajulikana ni
uvumilivu uliopo katika kukubariana ili mradi ikaeleweka kama ndivyo vile
ilivyo katika kuelewa ama ilivyo pangika kimfano maana hata matusi katika
kutaja majina itaeleweka kuwa ndiyo naamna ya kuitika ili leo wakaja pembeni
wakisema na wao walisikia wakiitwa kumbe majina yanafanana bila kujua.fikiri uliitwa wewe na majibu hukutoa eti ya kuwa hukusikia au pengine mwitaji alijibanza pindi akifikiria ndiyo.
No comments:
Post a Comment